iqna

IQNA

boko haram
Ugaidi Afrika
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimechapisha ripoti inayoashiria ongezeko la operesheni za kigaidi katika nchi za Afrika mwezi Septemba na kutaka kuongezwa hatua za kimataifa za kukabiliana na ongezeko la ugaidi katika bara hilo
Habari ID: 3475886    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/06

TEHRAN (IQNA)- Babagana Zulum Gavana wa Jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria hivi karibuni alionya kuhusu hatari ya kuenea satwa ya kundi la kigaidi la Kiwahhabi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
Habari ID: 3474982    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 25 wameuawa kufuatia hujuma ya magaidi wa kundi Boko Haram wanaofungamana na kundi la kigaidi la ISIS Tawi la Afrika Magharibi (ISWAP) katika hujuma dhidi ya kijiji kimoja katika mji wa Askira Uba katika jimbo la Borno Kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3474700    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20

TEHRAN (IQNA)-Waumini tisa wameuawa katika hujuma ya magaidi dhidi ya msikiti nchini Nigeria katika jimbo la Niger.
Habari ID: 3474662    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10

Hujjatul Islam Shahriyari
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam wal Muslimin Shahriari amesema itikadi ya Ukufurishaji ni kati ya njama za mabeberu na Wazayuni dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474640    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wameua askari saba wa Jeshi la Nigeria kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474639    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria limethibitisha habari ya kuangamizwa kinara wa genge la kigaidi la Daeshi au ISIS kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474427    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA) – Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) Afrika Magharibi, ISWAP, limethibitisha katika ujumbe wa sauti kwamba kinara wa kundi la kigaidi la Boko Haram la Nigeria, Abubakar Shekau amejiua na kuelekea jongomeo.
Habari ID: 3473987    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/07

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani utekaji nyara wa wanafunzi zaidi ya 300 katika jimbo la Zamfara kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3473690    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/28

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wamedai kuhusika na utekaji nyara wa zaidi ya wanafunzi zaidi ya 300 katika shule moja ya upili Ijumaa iliyopita jimbo la Katsina kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Habari ID: 3473462    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16

TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani mauaji ya raia wasio na hatia wa nchi hiyo yaliyofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram.
Habari ID: 3473422    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria limetangaza kuwaangamiza magaidi 8 wa ngazi za juu wa kundi la Boko Haram.
Habari ID: 3472982    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/20

TEHRAN (IQNA) - Raia zaidi ya 40 na wanajeshi wasiopungua 20 wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3472864    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/14

TEHRAN (IQNA)- Watu 69 wameauwa katika shambulio lililofanywa na magaidi wakufurishaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3472853    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/10

TEHRAN (IQNA)- Makumi ya wanajeshi wa Nigeria na magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameuawa katika mapigano baina yao kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472613    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/29

TEHRAN (IQNA) – Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameua Waisalmu watatu na kuwajeruhi wengine 13 katika hujuma iliyotekelezwa nje ya msikiti katika mjini Gowza, jimboni Borno kaskazini mashariki wa nchi hiyo.
Habari ID: 3472410    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/27

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram mapema leo wameshambulia mji katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuwalazimu wakazi kutoroka masaa machache tu kabla ya kuanza upigaji kura katika uchaguzi mkuu.
Habari ID: 3471850    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/23

TEHRAN (IQNA) - Waislamu 8 wameuawa baada ya magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram kuushambulia msikiti na kuua watu wanane mashariki mwa Nigeria wakati wa Sala ya Alfajiri.
Habari ID: 3471605    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/24

TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram wameua askari kumi wa Niger katika hujuma kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka na Nigeria.
Habari ID: 3471580    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/02

TEHRAN- (IQNA)- Watu zaidi ya 60 wameuawa katika hujuma mbili za kigaidi zilizolenga msikiti na soko kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3471491    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/02